flash3

Monday 10 September 2012

Hii Nduio Nyumba Ya Makamu Wetu Wa Rais Kalonzo Msyoka.....Du!!

Kenyan Post wametoa hizi picha za nyumba iliyojengwa na serikali kwa ajili ya kuishi Makamu wa Rais wa Kenya ambae kwa sasa ni Kalonzo Musyoka, ni nyumba iliyogharimu milioni 400 za Kenya mpaka kukamilika na ipo kwenye eneo la heka kumi huko Karen.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Kalonzo Musyoka.
Hayo hapo chini ni baadhi ya maoni ya Wakenya baada ya kuziona hizi picha.

.

No comments:

Post a Comment