flash3

Saturday 15 September 2012

DOGO JANJA ATIMIZA MIAKA 18 LEO............

Leo ni siku ya kuzaliwa Abdul aziz Abubakary Chande maarufu kama Dogo Janja, msanii kutoka Mtanashati Ent, anasema anajisikia poa sana kutimiza miaka 18 leo na kuingia step nyingine ya maisha Mfb, inamtakia mema maishani na kwenye fani.

No comments:

Post a Comment