flash3

Wednesday 19 September 2012

UMRI MDOGO SI HUJA TUKIANGAZIA TALANTA!!!!!

Photo: Hashim Bokolizo ni miongoni mwa wasanii wakali na wanao tajika ktk hii fani ya mziki wa kizazi kipya haswa hapa mkoani pwani,nyimbo
yake ya kwanza<DADA
NGOJA> iliiliwaza mioyo ya wengi,hivyo bac jina<HASH-B>likapendwa
na wengi..shukrani zake
kama alivyo
zitoa,"Ningependa
shukrani zangu za dhati ziwamfikie producer wangu Emmy D na Prince
Adio,Mafans wangu
wote,Mapresenters wote na bila kusahau
Madj's...kwa support
walionipa hadi kufika hapa nilipofika,na naahidi kuwaburisha tena bila kuchoka nanyi nawaomba
msije nichoka kwn bila nyny siwezi kuwa
mm"...vile vile aliomba kuwaarifu ya kwamba ana
NGOMA mpya na kali zaidi ya ile ya awali,nyimbo
yenyewe atakua aniachilia rasmi wiki hii,so kuweni tayari kuipokea nyimbo hiyo yake mpya kwa jina<NIELEWE>....<kama una
swali lolote kwake uliza
bila shaka utajibiwa...na ili
kuipata nyimbo hiyo yake
mpya tafadhali niwachie
Email yako hapo ama fika ktk s2dio za Jungle Masterz<KISAUNI >AV NYC DAY!!

Hashim Bokolizo ni miongoni mwa wasanii wenye umri mdogo na wakali  wanao tajika katika hii fani ya mziki wa kizazi kipya haswa hapa mkoani pwani,nyimbo
yake ya kwanza<DADA
NGOJA> iliiliwaza mioyo ya wengi,hivyo basi jina<HASH-B>likapendwa
na wengi..shukrani zak
e
kama alivyo
zitoa,"Ningependa
shukrani zangu za dhati ziwamfikie producer wangu Emmy D na Prince
Adio,Mafans wangu
wote,Mapresenters wote na bila kusahau
Madj's...kwa support
walionipa hadi kufika hapa nilipofika,na naahidi kuwaburudisha tena bila kuchoka nanyi nawaomba
msije nichoka kwn bila nyny siwezi kuwa
mm"...vile vile aliomba kuwaarifu ya kwamba ana
NGOMA mpya na kali zaidi ya ile ya awali,nyimbo
yenyewe atakua aniachilia rasmi wiki hii,so kuweni tayari kuipokea nyimbo hiyo yake mpya kwa jina<NIELEWE>...

No comments:

Post a Comment