flash3

Saturday 15 September 2012

Maneno ya Diamond Kuhusu mschana wa hapa Nyumbani (Pwani ya Kenya) anayedai kuwa Dem Wake!!!

Dah! kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kuwa anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi ndani yake...  dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana naye Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha hilo nililokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikuwa ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikuwa nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu alikuwa ana mipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa naye huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAYE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU, NAAMINI KILA MTU ANAMJUA.....

No comments:

Post a Comment