flash3

Wednesday 5 September 2012

HII NDIYO TATOO MPYA YA LADY GAGA ............

Kupitia katika website ya msanii  huyu namzungumzia Lady gaga A.k.A Mother monster kutoka pande za state ali post katika mtandano wake na kuweka picha hii na kusema kwamba amepiga new tatoo ambazo tatoo hizo kwa hapa bongo zinafahamika kwa jina la Nanga.

No comments:

Post a Comment