flash3

Saturday 8 September 2012

Great Mungaz Kuachilia Kanda Yao Mpya Ya Nyimbo Za Injili

Wakiwa wamekamilisha miaka Saba katika fani ya kuchapa Muziki wa Injili, sasa wanatarajiwa kuachilia Kanda yao mpya.
Nikikundi ambacho mkoani pwani Nchini Kenya kimekuwa tishio katika ulingo wa Nyimbo za Injili.
Kikundi Hiki Kinachoongozwa na Mmiliki wa Mtandao Huu Munga Arnold Maarufu Kama Dj Mafimbo, Kimepata Sifa kubwa na sasa Munga ana sema mwaka Huu ni Piga Uwam Katika Injili.
Great Mungaz Wameimba Nyimbo Ombi Langu, Nisimamie, Sema Nami Etc.........


No comments:

Post a Comment