flash3

Tuesday 11 September 2012

HAPPY BORN DAY LUDACRIS

Ni moja kati ya wasanii ambao  hawatasahulika katika serengeti fiesta ya mwaka jana jinsi alivyotikisa stage ya serengeti fiesta iliyofanyika mwaka jana  katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es Salaam huyu si mwingine namzungumzia Christopher Brian Bridges A.k.A Ludacris.Msanii huyu siku ya leo septermber 11 anatimiza miaka 35 toka azaliwe mwaka 1977.Tunamtakia maisha mema na kazi nzuri.

No comments:

Post a Comment