flash3

Tuesday 11 September 2012

TATOO MPYA YA RIHANNA NDIYO HII SASA

Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki pande za state American.Namzungumzia msichana anayeitwa kwa jina la Rihanna anayeondoka miondoko ya RNB siku za hivi karibuni msanii huyu alionekana amepiga tatoos mpya ambayo amepiga katikati ya kifua.
   Ni moja kati ya picha ambazo Rihanna ali shows off her new tatoos kipindi akipiga show nchini london.

No comments:

Post a Comment