flash3

Wednesday 19 September 2012

MUONEKANO MPYA WA MUINGIZAJI ELIZABETH MICHAEL 'LULU'

Nyota wa Filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael a.k.a Lulu (17) anaehusishwa na kifo cha Muigizaji Mwenziwe, Marehemu Steven Kanumba, aliye fariki dunia Aprili 7 mwaka huu nyumbani kwake maeneo ya Vatican Sinza Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika muonekano mpya tokea amepelekwa lupango. Kwa sasa msanii huyu anaonekana kunenepa wakati kila mtu anaamini yuko kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote katika maisha yake tangu azaliwe. Kingine najiulizaga siku zote ile mimba ayo ilikua ikiongelewa sana imepotelea wapi?








No comments:

Post a Comment