flash3

Tuesday 20 November 2012

AY ASHINDA TUZO YA MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR “CHOMVA 2012″


Ambwene Yessaya alias AY ndiye artist aliyeweza kunyakuwa tuzo ya  Channel O Music Video Award mwaka huu 2012 katika category ya MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Huku  Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni “I DON’T WANT TO BE ALONE” akiwa amewashirikisha wasanii Miiba wa muziki kutoka humu nchini Sauti soul.

No comments:

Post a Comment