flash3

Wednesday 7 November 2012

Mwaka Wangu wa Wa Kukaranga.....

 (Dogo Richi akifoka Foka)
Msanii Kazungu Kalama Francis Maaruf kama Dogo Richie hii leo asikika akisema kuwa hana muda wa kupoteza maishani mwake ispokuwa kuwapa mafans wake kile kizuri.
Akiwa Katika Kipindi Maarufu Tafrija Remix Pwani Fm, Richi Ree Adaisha Kuwa Muziki Ni Safari Nanilazima Mtu wae na Histori.
Hata Hivyo Ameahidi kuangusha midundo mikali na yenye mvuto wa macho na maskio.
Aidha Amewataka Wanamuziki Mombasa Kushirikiana ili kuimarisha fani ya muziki Mombasani huku akiwalaani wote walio na malengo ya kukandamiza talanta halisi pwani.............................

No comments:

Post a Comment