flash3

Thursday 22 November 2012

TIP TOP CONNECTION WAREKEBISHA MASKANI YAO

Meneja wa kundi la Tip Top connection almaaarufu kama Hamisi Tale alias Babu Tale siku za hivi karibuni,baada ya kuachia ngoma ya kundi lao inayofahamika kwa jina la Riziki na kupelekea mashabiki wengi wa Bongo Flevour kuwa kubali jinsi wanavyofanya vizuri karika tasnia hii ya muziki hapa Nchini.
Latest info kutoka kwa Babu Tale ni kwamba alifunguka na kusema kwamba wamerekebisha maskani yao ya TipTop Connection baada ya kutimiza miaka 10 kwenye game la muziki na kitu ambacho wanachotarajia kukitoa hivi,sasa ni movie yao mpya ambayo humo ndani kuna Dogo Asley na Mh Temba.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Tip Top kaa tayari kwa ujio mpya wa movie hiyo.

No comments:

Post a Comment