flash3

Thursday 29 November 2012

WAT A SHOW COMING UP VERY SOON.....

nyota ndogo

oliver

chaka chaka

suzanna
KULINGANA NA MEZA YETU YA SHSHSHSHS 1 2 3 MTAAANI NI KUNATAMASHA LA KUKATA NA SHOKA AMBALO LITAWAHUSISHA MA BINGWA WANNE KWENYE STEJI MOJA AKIWEMO OLIVA MTUKUDZI , I CHAKACHAKA, SUZANNA OWIYO NA NYOTA NDOGO TULIPO MTAFUTA NYOTA KWA MAELEZO ZAIDI ALIKUA NA HAYA YUA KUSEMA: mimi nitasema kwa radio show ya mashav mashav wakati ukifika.

No comments:

Post a Comment