flash3

Thursday 1 November 2012

BEN POL AINGIA KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIE

Msanii wa Bongo Fleva wa kizazi kipya almaarufu kwa jina la Ben Pol anayetamba na ngoma kali hapa Tzee kama Nikikupata,Maumivu,Pete.
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kutoka na ngoma yake ya Pete sasa ameamua kuingia katika tasnia ya Bongo movie kwani alisema kwamba japokuwa zamani alishawahi kuwa Assistant Director katika movie ya Long number lakini leo hii anafunguka na kusema kwamba kwasasa ameshafanya movie mpya na karabani bila kusahau alimalizia kwa kusema kwamba mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wake katika tasnia ya Bong movies

No comments:

Post a Comment