flash3

Tuesday 6 November 2012

HUSSEIN MACHOZI KUFANYA COLLABO NA MSANII WA NIGERIA.....

Msanii mahiri wa bongo fleva almaarufu kama Hussein Machozi baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa kama Addicted,Mizimu,Kwa ajili yako na ngoma zingine kali sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kufanya ngoma ya mpya ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la Addicted huko kenya sasa ameamua kufanya kazi zake za mziki ziwe mbali zaidi kwani siku ambayo nilikutana naye aliweza kuniambia kwamba soon anatarajia kuachia official song ambayo amefanya collabo na D banj pia baada ya kusema hivyo alifunguka na kusema kwamba kwa sasa atakuwa akifanya kazi zake nchini Kenya.@info by Hussin Machozi

No comments:

Post a Comment