flash3

Thursday 22 November 2012

SHILOLE AFANYA SHOOTING YA VIDEO YAKE MPYA

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Shilole anayetamba na ngoma kali hapa Tzee kama Dume dada,Lawama,Dudu na ngoma nyinginezo kali,sasa latest info kutoka kwa mwanadada huyu ni kwamba aliweza kufunguka juu ya picha hizi na kusema kwamba alikuwa akifanya video yake mpya inayokwenda kwa jina la Dudu akiwa amempa collabo Q-Chillah.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Shilole fahamu tu hizo picha alikuwa akitengeneza video yake mpya.



No comments:

Post a Comment