flash3

Tuesday 20 November 2012

GET READY FOR THE NEW VIDEO TOKA KWA KEISHA ft. DIAMOND PLATNUMZ

Nikiteta jambo na Keysher kabla ya kushoot...
Taym ya Makeup sasa....


Hii ndio ilikua scene ya mwanzo kushoot...



Basi wadaku msije mkazua yenu tena... maana hamkawii....Video tu HIII!!!

Baadhi ya crew ya Next Level ikitimiza wajibu wake....
 Basi mwanadada huyu anavyonishangaa navyopaka wanja...LOL!
Kwa mara nyingine tena mmmh! mwenzangu....


Hii ni moja ya scene...tulizozishoot tukiwa ndani ya Gari










Hizi ndo scene nnazozipenda mie sasa za maakuli







Baadhi ya models walioshiriki
Keisha akifanya Makeup...

No comments:

Post a Comment