flash3

Tuesday 20 November 2012

TAREHE YA JA RULE KUTOKA JELA NI HII....

Rapper na Mwigizaji Ja Rule anatarajiwa kutoka jela February 21,2013 kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari kimesema Ja Rule atatoka mapema kutokana na tabia na nidhamu nzuri aliyo onyesha akiwa jela kwa muda wote toka alipoingia June 21,2013.... Ja Rule Alikutwa na hatia kwa kosa lakutembea na kumiliki silaha kinyume cha sheria mwaka 2007....Inasemekana tayari kuna waongozaji wa filamu wameshafanya mawasiliano nae kuhusu filamu ya maisha yake,akiwa jela ,muziki alioandika na familia yake inaishi vipi alivyokuwa jela

No comments:

Post a Comment