flash3

Thursday 1 November 2012

Q CHIEF AFUNGUKA JUU YA SAKATA LA DIAMOND KUKOPI AIDEA YA NATAKA KULEWA KWA H BABA NDANI YA 255 NA MISS INFO

 Q chief atoa maoni yake juu ya sakata la Diamond kukopi aidea ya H baba, Dudu baya afunguka juu ya story ya kupigwa Geita asema hizo ni rumors zinazoletwa na watangazaji wawili ambao nina ugomvi nao na ugomvi huo ni kutokana na mimi kuwatetea na kuwapigania wasanii wa Mwanza haiwezekani miaka yote iwe ni Dudu Baya, Fid Q na H baba" zaidi msikilize hapa Miss Info

No comments:

Post a Comment