flash3

Wednesday 14 November 2012

MAELFU WAMZIKA MWIMBAJI WA TAARAB MARIAM HAMISI WA TOT

Waombolezaji wanawake.
Waombolezaji wanaume.
Mwanamuziki wa TOT Khadija Omar Kopa (uulia) akilia kwa…
Waombolezaji wanawake.
Waombolezaji wanaume.
Mwanamuziki wa TOT Khadija Omar Kopa (uulia) akilia kwa uchungu.
Waombolezaji wakiwa wamebeba  jeneza kwenda msikitini.
Waumini wakiuswalia mwili.
Safari kuelekea makaburini.
Marehemu akizikwa.
MAELFU ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake leo walijitokeza kwa wingi katika mazishi ya mwimbaji wa taarabu wa bendi ya TOT, Mariam Khamis, ambaye amefariki  jana alfajiri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako alienda kujifungua.

No comments:

Post a Comment