flash3

Thursday 15 November 2012

SAM WA UKWELI AMERUDI TENA KWENYE MUZIKI

Msanii wa Bong Fleva almaarufu kwa jina la Sam wa Ukweli kwa kupitia ngoma zake kama Hata kwetu wapo,Sina raha na ngoma nyingine alizopewa collabo sasa leo afunguka kuhusiana na ukimya wake katika game.
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kukaa kimya katika tasnia hii ya muziki hapa Bongo alieleza kwamba kwa sasa amerudi tena pia amesaini mkataba na kampuni ya Aljeezira Entertainment chini ya Papa misifa.baada ya kusema hivyo pia aliweza kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuachia ngoma yake ya kufunga mwaka kwa mashabiki wake ambayo itakwenda kwa jina la Ameshaolewa, alisema humo ndani kuna wasanii wawili ambao ni Rich Mavoco na Z.Anto,Studio Burn Record chini ya producer Sheddy Clever.Kwa hiyo wale mashabiki wa Sam wa ukweli kaeni tayari kwa kupokea ujio mpya wa msanii huyu kurudi katika game.

No comments:

Post a Comment