flash3

Monday 20 August 2012

Baada ya Rvp, Sasa Kaka.

Macho ya Sir Alex Fargason, bado yapo nje kutamani kuzamisha matumaini ya vilabu ulimwenguni, hii imedhihirika baada ya kumnyakuwa mwiba wa washika bunduki Robin Van Persie na sasa mfb imemnukuu akisema kuwa sasa imesalia zamu ya kizalia cha Brazil aliye Uhispania Real Madrid, Kaka hata japo kwa Loni.

No comments:

Post a Comment