flash3

Saturday 25 August 2012

SHARO MILIONEA AVUTA MKOKO WA MILIONI 15

 Nani kasema kazi yakuchekesha hailipi? inalipa na ina soko kubwa sana. mkali wa comed na kuimba tanzania sharo milionea amenunua gari lenye thaman ya shilingi milioni 15 za kitanzania aina ya Oper. kama nyumba kaipata chata ya kitambulisho chake ya kuchekesha cha oooooh maaamaa!

No comments:

Post a Comment