flash3

Wednesday 22 August 2012

HAYA NDIO MATUSI YA J.MARTINS ANUNUA ROLLS ROYCE PHANTOM NA MERCEDES BENZ G-WAGON 550


J.Martins

Hizi ndizo ndinga za J.Martins.
After a long spell of driving a modest Toyota Corolla car,producer na msanii wa Nigeria J Martins, ameamua kufumba macho na kununua mikoko miwili ya gharama aina ya  Rolls Royce Phantom na Mercedes Benz G-Wagon 550.
G-Wagon ipo kwenye meli tayari ikipelekwa nchini Nigeria na masuala ya makaratasi yanachelewesha usafirishwaji wa Rolls Royce Phantom ambayo tayari ameshailipia.
Kwa sasa yupo nchini Marekani ambako anachukua kozi maalum ya masuala ya utayarishaji wa muziki {executive media production course} jijini New York na aliondoka Nigeria  tangu July 3 kwaajili ya kozi hiyo ya miezi mitatu.
Tayari ameshafanya video mbili kwenye majiji ya Miami na Los Angeles, na anatarajiwa kurudi Nigeria mwezi September.

No comments:

Post a Comment