flash3

Wednesday 29 August 2012

DR. DRE AWAPIGA CHINI JAY-Z , P.DIDDY LIST YA FORBES CELEB WENYE HELA NYINGI..........

Dr Dre ndo mwana Hip Hop pekee kuingia katika list ya Celebs wa mwaka huu wanaolipwa mkwanja mrefu hii ni kutoka Forbes kupitia HHNM. 
Oprah Winfrey ametajwa kuwa wa kwanza Na mkali Veteran kutoka West Coast amekuwa wa tano (5) anapata dola milioni 110, Mkwanja huo Dre ameuingiza baada ya watengenezaji wa simu aina ya HTC kulipa dola milioni 300 kama asilimia 51 ya share katika kampuni ya Beats by Dre mwezi uliopita wa nane (8) na mkwanja mwingine alipata kupitia muziki. 
Wengine ni pamoja na Mtayarishaji wa mapigo ya muziki (Producer) Jerry Bruckheimer akiwa wanne (4) anamiliki dola milioni 115, Steven Spielberg akishika namba 3 anamiliki dola milioni 130 na Michael Bay anamiliki dola milioni 160.

No comments:

Post a Comment