flash3

Friday 17 August 2012

Pwani Fm Kuchapa Show Mbili Hapa Pwani!!!!!!!!!!!

Kwa mara nyingine tena Pwani Fm yabeba studio zake hadi Mariakani ndani ya Klab Brilliant kwa tamasha babu kubwa ambalo mjini humo halijawahi kuonekana.
 Sha-Biggy........
Dazlah......
Mr-Bado........
Tamasha hilo latajwa kuwa moja wapo ya matamasha yakujenga uhusiano mwema baina ya wasikilizaji, waimbaji na Stesheni Hiyo pendwa.
Wasanii, Shaabiggy, Mr Bado na Dazlah wanatarajiwa kuvurumisha katika tamasha hilo, huku wanaochipuka pia wakipata fursa ya kuvuruga kimaana.
Dj Mafimbo na Mticha Bwax wa Tafrija Remix, Dj Gates wa Mashav Mashav University hawakoseki jukwaani, Rej Djs, Dj Elon wa Tribe Djs wote hawa Kwenye Wheels hawatahepa huku watangazaji wote wa pwani fm wakijaajaa humo.
Ni tamasha Noma ambalokuigwa halijawahi.Noma!! Noma!! Noma!!..
siku Moja Baadaye Mjini Malindi ndani ya Mkahawa wa Kienyeji, Pwani Fm Mambo ni hayo hayo, Wasanii, Crazy P, R-Zee, Alkenia Luv, Pday, Kidis watajirusha hewani una sababu ya kufika.
 Kidis......
R-zee.........
 Krazy-P.........
Alkenia- luv............
P-Day.......................
kiingilio katika matamasha yote mawili ni shilingi mia mbili pekee.....
Kosa Uchekwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment