flash3

Tuesday 21 August 2012

BOBI WINE AIJIBU DISS YA BEBE COOL

Unakumbuka story niliyokuletea siku kadhaa zilizopita, ambapo Bebe cool aliwadiss Chameleon na Bbobi wine, na kusema kuwa Bobi wine boti anayojigamba nayo kuwa kainunua kwa dola 750,000, sio yake bali ni ya binti wa tajiri mmoja kutoka Uganda anaeitwa Sudhir..
baada ya diss hiyo Bobi wine nae ajibu
Bebe Cool anajua kwanini anasambaza uongo huo kuwa boti sio yangu,unajua nimekuwa kitendawili kwake tangu 1996 na hataki tu kukubali kuwa nimenunua boti hii....Boti hii haijanisisimua kama ilivyomsisimua Bebe Cool, Bekham alishawahi kuwanayo kabla ya kuwa na umri kama wangu, na drogba anayo na bado ni mdogo kuliko mimi, hivyo sio kitu kikubwa sana kwa umri wangu, ni maisha ya kawaida sana ambayo Bebe anaona ni kitu kikuuubwa.Am sorry

No comments:

Post a Comment