flash3

Wednesday 15 August 2012

Shemakings Kurudiana Kwa Kishindo..........

Hawa jamaa walikuwepo pamoja na baadaye wakaja wakatengana na kila mmoja akawa anafanya kazi yake binafsi.
Shemakings ni kikundi kinajojumuisha jamaa watatu, Y-liza, J-Makings na Shephard, waliojulikana kwa nyimbo zao Mahabuba, Maisha Msoto, Jesica etc.
Hata hivyo sababu halisi iliyowsafanya watengane, haikuwa ya msingi isipokuwa watu kuwagonganisha pasi kuzingatia talanta zao.
Aidha hivi majuzi walikutana katika studio za T-heets Recs Likoni zilizoko chini ya Mmiliki Producer Tee na kisha kutataua tofauti zao na hatimaye kupenya ndani ya Booth na kutia sauti za Track Kali'Ananipenda'.
Track Hii wameitaja kama moja ya zile kali zinazochapa Hewa ya PWANI kwa kishindo japo wanamengi wanapka.
Nikweli makundi hapa mkoani yamekuwa yakiregarega kufuatia ubinafsi mwingi wa maskio ya mashibiki wa mziki huu pendwa hapa pwani.
Kilalaheri kwa Shemakings wasivunjike tena.

No comments:

Post a Comment