flash3

Tuesday 26 March 2013

DNA AIKODOLEA MACHO CALIF

dna10
Mkali wa kibao cha ‘maswali ya polisi’ DNA amepishana maelewano na Clemo wa Calif Records kutokana na kuona haki zake zimekiukwa kwa matumizi mabaya ya ngoma yake kali ya Maswali ya Polisi.
Beef hili mzizi wake ni kutokana na kitendo cha Calif Record kuweka ngoma hii ya maswali ya Polisi katika mtandao wa Youtube bila makubaliano naye na hii kusababisha Calif kuonekana kuwa wao ndio waliotengeneza mkwaju huu wakati kiukweli ni kazi safi ya Grandpa Records.

Tayari DNA amekwishaanza kuchukua tataribu za kisheria akishirikiana na Mamlaka ya Hakimiliki ya Kazi za wasanii nchini Kenya ili kuweka sawa msala huo.

No comments:

Post a Comment