flash3

Wednesday 13 March 2013

HAPPY BIRTHDAY MWANA FA. NDOO NDIO HABARI YA MJINI

Leo hii ni siku ya kuzaliwa kwa Rapper Hamisi Mwinjuma (FA), 13/03. siku hizi watu hawawazi nini cha kukuletea kwenye birthday yako, bali wakumwagie nini ikiambatana na ndoo yenye maji..na hicho ndicho kilichokamilisha birhday ya FA...Tunakutakia maisha marefu na burudani tele..Happy birthday
 Safi AY, maana nakumbuka mwaka jana birthday yangu, nilibebwa kama mbuzi aliechinjwa na mkanimwagia maji ya baridi, tena ya ndani ya friji kabisa..zamu yako sasa Fa hahahaaa, Happy birthday Bro
Ay akiwa na mshkaji wake wa karibu sana FA na Salama J

hi hi hi hiiiiiii

No comments:

Post a Comment