flash3

Friday 8 March 2013

HUYU NDIE MWANAMKE ANAEOLEWA NA 2FACE IDIBIA WIKI HII

Blogger maarufu wa Nigeria Linda Ikeji ameamplfy kwamba staa wa muziki 2Face
Idibia anatarajia kufunga ndoa ya kimila ijumaa hii tarehe 8 March 2013 na
 party nyingine ya harusi itafanyika Dubai, kwa sasa chukua time yako
 kupitisha macho kwenye pichaz za pre-wedding.



No comments:

Post a Comment