flash3

Friday 1 March 2013

SHOW YA OMMY DIMPOZ LONDON YAINGIA DOSARI

Leo kupitia U heard na Gossip Cop, inasemekana ulaya kwatimuka vumbi licha ya kusemekana kutokuwa na vumbi.wabongo wazichapa nje ya ukumbi, vurugu zikatawala kwenye show waliyokuwa wakifanya Ommy na Allykiba katika moja ya club waliyokuwa wakifanyia show Ommy na Allykiba, London....vingine mwachie B A B A na M A M A....
"hiyo club tuliyotumia ni ya club ya wanaigeria, so kuna wanaigeria waliokuja wakidhani kwamba wanaweza kuingia bure, kwasababu pia ni club inayomilikiwa na mnigeria, sasa kuna mbongo ambae alivunjwa mkono katika vurugu hizo, kutokana na kupigwa na jamaa wa security na ndio maana vurugu zilizidi kuwa kubwa nje..amesema Ommy

No comments:

Post a Comment