flash3

Friday 29 March 2013

MISSY ELIOT IS BACK......

missy-elliott
Mwanashosti mwenye vituko aliyekamata industry ya muziki nchini Marekani na hatimae kutoweka kusikojulikana rapa Missy Eliot amerudi tena kwa kishindo kwa kutoa wimbo mpya “How You Doin” akishirikiana na kikundi cha wanadada wa nchini Uingereza Little Mix.
Wanashosti hao ambao walipata kujulikana katika shindano maarufu la utafutaji vipaji la X Factor ambao walitoklezea na hit single yao iitwayo ‘Like Wings’ , wamepewa shavu na missy eliot katika audio ya wimbo wao mpya “How You Doin”.
Missy Eliot ambaye ni mshindi wa tuzo maarufu za muziki na pia mtayarishaji maarufu aliyewahi fanyakazi na nyota mbalimbali anatarajia kuibuka katika kichupa cha wimbo huo akiwa na wanashosti hao wa Little Mix

No comments:

Post a Comment