flash3

Tuesday 26 March 2013

GUNDUA JINSI MWIBA P FUNK NA J. NATURE WALIVYOKUTANA

p-funky
As you know P funk majani na Juma Nature ni maswahiba wakubwa since way back then it’s time you should know how they met
P funk alimfahamu Juma Nature kipindi hicho wakati alipofika Bongo Records kufanya Vocal na Mabaga Fresh kwenye wimbo wao ambao beat ilikuwa produced na Bonny Love.
It was a kind easy kwa P. funk kutambua na kukubali kipaji cha Nature kutokana na Personality yake wakati huo Nature bado anasoma akiwa anaishi Kotaz za kurasini.
Juma Nature
So by the time P funk alianza kumpa Nature opportunities za studio session Nature akawa anaenda Bongo Records akiongozana na Doro and they moved on hadi wakati ambapo wimbo wa ‘Jinsi Kijana’ ulipoanza kufanya poa kwenye Radio.

According to P funk ‘Jinsi Kijana ilivyo kubalika aliona ndio chance ya kutoa album ya kwanza ya Nature na kwa maelezo yake aliendelea kufanya nae album hadi zikafika tano.
P funk told BK Cop kwamba at that moment aliweza kufanya na Nature Tour kubwa tatu malipo yao ikiwa hadi milioni kumi na mbili.
Currently P funk na Nature bado wanafanya kazi ya muziki pamoja ingawa kwa maelezo ya P Majani anasema ni ngumu sana kumpata Nature akiwa focused kama zamani kutokana na kwamba anasafiri kwenye show za mikoani karibu kila wiki.

No comments:

Post a Comment