flash3

Thursday 21 March 2013

HARUSI YA 2FACE KUFURU.............


Kutoka Nigeria mpya kuhusiana na Harusi ya 2face Idibia ni kwamba gauni la harusi lenye thamani ya Naira milioni 1.7 zaidi ya shilingi milioni 17 na laki 3 za kitanzania.
Tayari limekwishaandaliwa kwa ajili ya Bibie Annie katika siku hii kubwa ya kufunga pingu za maisha na baby daddy wake.

Gauni hili ambalo tayari linawapa wengi hamu ya kuliona, litaonekana hadharani siku ya jumamosi baada ya picha za harusi hii kutoka. Gauni hili linatajwa kuwa ni kazi safi ya mbunifu mavazi mahiri wa Nigeria ambaye anaishi huko UK Yemi Osunkoya.

No comments:

Post a Comment