flash3

Friday 29 March 2013

MAVADO NA CECILE KU-PERFOM KENYA

mavado
Nyota wa miondoko ya dancehall nchini Jamaica David Constantine Brooks aka Mavado anatarajia kutumbuiza katika tamasha la amani liliobatizwa jina ‘Make A Change campaign’ litakalofanyika Septemba mwaka huu nchini Kenya.
Aidha imeelezwa kuwa wandaaji wa tamasha hilo kubwa wanafanya mipango ya kumleta msanii mwingine wa miondoko ya dancehall Princess Cecile ambaye pia ni mchumba wa mwanamuziki Chris Martin.
Hili litakuwa ni tamasha la pili kwa Cecile kutumbuiza nchini Kenya ambapo awali mwaka 2011 aliwahi tumbuiza na laazizi wake huyo na pia kufanya kolabo na Wyre aka The Love Child katika remix ya track yake ‘She Say That’.
Share Button

No comments:

Post a Comment