flash3

Friday 29 March 2013

TONTO DIKEH AJITOSA KWENYE MUZIKI

tonto-dikeh
Wa Naigeria Baada Ya Kumpoteza Mwiba Wa Muziki Hivi Majuzi Goldie Sasa, Muigizaji wa filamu za Nollywood nchini Humo sasa aamua rasmi kuzama katika muziki.
Tonto Dikeh amezindua kwa mara ya kwanza kichupa chake kipya alichokibatiza jina “HI”.
Shosti huyo mwenye mvuto na mkali katika kumiliki steji amezindua kichupa hicho chenye miondoko ya dance ambacho kimefanyiwa kazi na video director maarufu nchini humo aitwae Gbemi Phillips kutoka kampuni ya Gbemi Phillips Productions.
Mwaka huu mkali huyo amejipanga kuwapagawisha zaidi mashabiki wake kupitia vibao vikali kama jinsi ilivyokuwa mwaka 2012 ambapo alijipatia mashabiki wengi kutokana na style yake ya kucheza.

No comments:

Post a Comment