flash3

Wednesday 20 March 2013

HAPPY BIRTHDAY BOB JR............

Leo hii ni kumbukumbu ya siku ambayo alizaliwa Raisi wa Masharobaro, Bob jr, ambae kwa hivi sasa yuko norway akipiga show zake kwa takribani wiki kadhaa sasa, nimeongea nae leo Bob jr yuko njiani anaelekea Finlad.
"Niko Norway naenda Finland kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa coz daddy yangu anaishi kule na baadhi ya wadogo zangu" alisema Bob Jr
Jr amebakisha show tatu nne  kumaliza tour yake huko na kurejea dar
All the best kwa party ya b day yako na show zote zilizobakia 

No comments:

Post a Comment