flash3

Wednesday 10 April 2013

AKON AMPONGEZA RAISI UHURU KENYATTA


Inaonekana Kenya haikuwa nchi pekee iliyokuwa ikiangalia uchaguzi wake na sherehe za kuapishwa kwa Raisi Kenyatta siku ya jana.Wakenya hawakuwa peke yao wenye furaha baada ya kumalisha uchaguzi kwa amani mwaka huu.
Akon siku ya jana ameandika kupitia mtandao wa instagram kuwa alikua anafatilia uchaguzi na sherehe za kuapishwa kwa Kenyatta kwa umakini na anafuraha kwa kuwa amani ilitawala
Hiki ndicho alichokisema

akon
"Congratulations Uhuru Kenyatta on your new presidency. The world is proud of Kenya and its peaceful transition. This is big. I'm in Hong Kong and it's all over the news. I wish I could be there to Witness. AKON"

No comments:

Post a Comment