flash3

Monday 22 April 2013

GOOD NEWS: MSHINDI WA LONDON MARATHON 2013 NI MKENYA

Prisca
Taarifa za uhakika kutoka nchini uingereza ni kwamba Priscah Jeptoo wa Kenya ameshinda mbio za wanawake na raia wa Ethiopia, Tsegaye Kebede, ametokea wa kwanza upande wa wanaume.
Marathon hiyo imefanywa siku sita baada ya mashambulio katika marathon ya mjini Boston, Marekani. Ulinzi ulikuwa mkubwa lakini hakuna ripoti za kutokea lolote.
Watu zaidi ya 30,000 wameshiriki kwenye mashindano hayo na malaki walishangilia kando ya barabara.

No comments:

Post a Comment