flash3

Friday 26 April 2013

SUPRISE YA STAR WA NOLLYWOOD ‘MERCY JOHNSON’ KWA MTOTO WAKE

mercy-johnson
Wakiwa wametua nchini Nigeria baada ya kumaliza muda wao nchini Marekani muigizaji nyota wa Nollywood Mercy Johnson aliyejifungua mtoto wake wa kike nchini Marekani nakumuita ‘Purity’ anatarajia kufanya wakfu ya sherehe ya utambulisho ya mtoto wake huyo.
Mercy ameelezea kuwa wakfu huo inatarajiwa kufanyika tarehe 28 ya mwezi huu ambapo baadhi ya watu na mastaa mbalimbali wamealikwa ili kuweza kumwona na kuungana kwa pamoja na familia ya muigizaji huyo ambayo imehamia katika nyumba yao iliyopo huko Thomas Estate, Ajah, Lagos.

No comments:

Post a Comment