flash3

Monday 22 April 2013

WATOTO WABOBEA ULEVI ULAYA

bia
Sasa tatizo la ulevi lawavamia watoto chini ya umri wa miaka 10 chini Uingereza huku wengine wakilazwa hospitalini.
Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380 wamefikishwa hispitalini na kulazwa kutokana na kuchanganyikiwa kulikosababishwa na ulevi.
Hizi ni takwimu za hivi karibu, fikiria kama uchunguzi ukifanyika Afrika Mashariki matokeo yake yatakuwaje.

No comments:

Post a Comment