flash3

Tuesday 23 April 2013

JAY Z BADO ANAIFAGILIA BROOKLYN NETS

JAY Z
Baada ya hatua yake ya kuuza shea zake zote na hivyo kuondoka katika umiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya Brooklyn Nets, Rapa Jay Z amesema kuwa bado yeye ni shabiki mkubwa wa timu hiyo.
Kuthibitisha usemi huo Jay z hivi karibuni aliotokezea wakati timu hiyo ilipocheza mechi ya kirafiki na chicago bulls.
Jay Z katika mechi hii akiwa kama mashabiki wengine wa kawaida na si mmiliki tena, alionekana akitoa sapoti na morali ya kutosha tu kwa wachezaji na hivyo kurudisha moyo wa wengi kuwa baba lao bado yupo pamoja nao.
Jay Z amelazimika kujiondoa katika umiliki wa timu hii kutokana na kuanza uwakala wa kusimamia wanamichezo kupitia Roc Nation Sports.

No comments:

Post a Comment