flash3

Friday 26 April 2013

KUHUSU PALTROW KUTAJWA MREMBO WA DUNIA

Gwyneth Paltrow
Jarida moja maarufu nchini Marekani limemtaja muigizaji nyota wa kike mshindi wa tuzo za Oscar, Gwyneth Paltrow kama ‘World’s Most Beautiful Woman of the year 2013′ crown ambayo imewahi kushikiliwa na msanii kama Beyonce, Julia Roberts na Jennifer Lopez.
Mwanamama huyo ambaye amezaa watoto wawili Apple na Moses, mwenye umri wa miaka 40, amefunga ndoa na mwimbaji kiongozi wa bendi maarufu ya
miondoko ya pop na rock Coldplay, anayeitwa Chris Martin.
Hivi sasa mwanamama huyo ambaye ametamba katika filamu maarufu za Shakespeare in Love, The Avengers, hivi sasa anafanya promotion huko Hollywood kwa ajili ya kuitangaza filamu mpya ya “Iron Man 3,” ambayo inatarajia kutoklezea katika majumba ya cinema nchini Marekani mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment