flash3

Friday 5 April 2013

HII NDIO LIST KAMILI YA WASANII WATAKAO PERFORM KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAISI UHURU KENYATA

Jana nilitoa baadhi ya majina ya wasanii waliotajwa kuperfom kwenye sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Nne Wa Jamhuri Kenya , Kenyata, leo hii nimepokea list kamili ya wasanii watakaoshiriki na safari hii Jaguar hakuachwa nyuma.
List hiyo ni Daddy Owen, Jaguar, Emmy Kosgey, Rufftone, Ringtone, Abass, V6, Sauti Sol, Sarakasi Dancers, Madtraxx, ambao watu wengi walikuwa wakitegemea kuona list ya majina haya.

wengine ni pamoja na Elsie na Visita, walioimba wimbo wa jubilee, pamoja na Ally B, Gkon na  Kavi Pratt.

No comments:

Post a Comment