flash3

Friday 12 April 2013

REEBOK WAMPIGA CHINI RICK ROSS

Reebok wamefuta mkataba wao na Rick Ross baada ya umati wa watu kufurika katika store za Reebok mjini New York wakichukizwa na mashairi ya rapper huyo kwenye nyimbo ya “U.O.E.N.O. (You Ain’t Even Know It),”.
This is a lyric which put Rozzay in trouble “Put Molly all in her champagne, she ain’t even know it / I took her home and enjoy that, she ain’t even know it.”
 
April
12

Mashairi hayo yameonekana kama kitendo cha kumdhalilisha mwanamke kijinsia japokuwa Rozzay alijitetea kuwa hakumanisha hivyo na kusema “I want to make sure this is clear,
Woman is the most precious gift known to man, you understand? It was a misunderstanding with a lyric, a misinterpretation where the term rape wasn’t used. I would never use the word rape in my records.”
Reebok waliongezea kwa kusema “Reebok holds our partners to a high standard and we expect them to live up to the values of our brand. Unfortunately, Rick Ross has failed to do so.
We are very disappointed [that Rick Ross] has yet to display an understanding of the seriousness of this issue.”

No comments:

Post a Comment