flash3

Monday 22 April 2013

MR. & MRS CARTER COUPLE TAJIRI ZAIDI

Jay z & Beyonce
Kutokana na hesabu za kiundani pamoja na makadirio ambayo yamefanywa hivi karibuni, Kutokana na utajiri wa kiasi cha dola milioni 475 alio nao rapa Jay Z kwa sasa, Utajiri wa dola milioni 400 wa Beyonce, familia hii ya kistaa ndani ya mwaka huu inatarajiwa kujivunia utajiri wa kufikia dola bilioni moja na zaidi za kimarekani.
Hii ni kutokana na wachambuzi ambao kwa hesabu zao, Kutokana na dili ambazo Beyonce kwa sasa anazifanya ikiwepo ile ya H&M, ile ya kampuni mahiri ya vinywaji baridi pamoja na Ziara yake kubwa ya sasa – Mrs Carter Show zitamtengenezea zaidi ya dola milioni 165.
Gonga continue reading kuendelea..

Hii ikiunganishwa pamoja na biashara za Jay Z pamoja na miradi mbalimbali ambayo ameamua kuwekeza pesa zake kwa sasa, ni dhahiri kuwa, katika miezi kadhaa ijayo power couple hii itakuwa na mipesa ambao wingi wake hauelezeki.

No comments:

Post a Comment