flash3

Tuesday 23 April 2013

PREZZO AACHIA KICHUPA CHA LIQHER

prezzo
Akifahamika kama The King of bling ambaye hataki masihara linapokuja suala la kuchana mistari Prezzo amerudi tena na bonge moja la swag kwa kutoa kichupa cha songi lake la’Liqher’ .
Prezzo ambaye awali alitoa wimbo mahususi wa kumuenzi aliyewahi kuwa mpenzi wake Goldie Harvey amesema kuwa hivi sasa ameachia kichupa hicho rasmi ambacho tayari kimeanza kuleta malumbano katika tasnia ya muziki nchini Kenya kutokana na wimbo huo kujawa na baadhi ya picha ambazo zimeleta gumzo ndani ya tasnia hiyo.

No comments:

Post a Comment