flash3

Thursday 25 April 2013

HII NDIO AINA YA GARI ANAYO MILIKI JAGUAR KWASASA

bantley
Mkaree anayefanya poa sana nchini Jaguar baada ya kuachia trak yake mpya iliyobatizwa jina ‘Kipepeo’ hivi sasa anafanya shooting ya kichupa chake kipya.
Ni hivi karibuni habari zimeenea kuwa Jaguar amekuwa ni msanii mwenye mafanikio hadi kufikia kununua gari la kifahari aina ya Bentley ambalo limetumika mahususi kwa ajili ya video shoot ya kichupa hicho.
Gari jipya aina ya Bentley thamani yake ni $200,000 hadi $500,000 inategemea na ni model gani

No comments:

Post a Comment