flash3

Thursday 18 April 2013

Shabigy, Avunja Kimya......



Mkali wa Sauti za kuongoa kutoka kilifi county, Swalehe Juma maarufu kama Shabiggy hatimaye avunja kimya chake.
Baada ya kuachilia traki baba wa kambo, Shabigy asema kuwa hivi punde mashabiki wake wasubiri kuiona video ya wimbo huo ambao kwa sasa umekuwa gumzo la jiji.
Hata hivyo haijakuwa rahisi kwake kwa mashabiki wa muziki humu nchini kumkubalibali kwa hila za kuumiza akili yake kwa muda mrefu huku maulana pia akihusika vilivyo.
Akilisema hilo alitaja kuwa kuchipuka kwa wanamuziki kila siku humu nchini limekuwa swala la kila mwenye pumzi ya uimbaji basi itamlazimun akaze buti na kumuomba mungu sana ama sivyo si muda mrefu hatawahi sikika tena.
Wakati uo huo alimtaja Producer J Crack Wa Crack Sounds Recs Kilifi Kama baba katika fani yake huku akisema kuwa hilo halitakuwa swala la kumbana asifanye kazi na watu wengine.
Aliwataja Maproducer, Amz Wa Sq, Emi D Wa Jungle Masters, Totti Wa Kg Studioz kama Miti Ya Production hapa Mkoani Huku Epher T Dili Dili kutoka kilifi kamtaja kama mmoja wa wale wakali wa eneo.

No comments:

Post a Comment